Latest News

MKUTANO WA WAKULIMA ,WATAALAM Na WADAU MBALIMBALI WA KILIMO WAKISHIRIKI KATIKA MAONESHO YA #YaraKilimoExpo KATIKA VIWANJA VYA NANENANE MBEYA #JOHN MWAKANGALE

Bwanashamba (MUSA LWINGA) Kampuni ya Mtewele General Traders akihojiwa na vyombo vya habari kuhusu namna gani tumejipanga kuhudumia wakulima msimu 2023/2024 na namna gani wakulima wanaweza kuzalisha kwa tija ,kwenye maonyesho ya Yara Expo. Mbeya katika vinjwa vya JOHN MWAKANGALE kuanzia tarehe 24 july 2023 hadi 28 july 2023

MKUTANO WA WAKULIMA ,WATAALAM Na WADAU MBALIMBALI WA KILIMO WAKISHIRIKI KATIKA MAONESHO YA #yaraKilimoExpo KATIKA VIWANJA VYA NANENANE MBEYA #JOHN MWAKANGALE

Afisa Masoko kutoka kampuni ya Mtewele General Traders (BENEDICTO MGAYA) akimhudumia mteja kwenye maonyesho ya Yara Expo 2023/2024 Mbeya katika vinjwa vya JOHN MWAKANGALE kuanzia tarehe 24 july 2023 hadi 28 july 2023

MKUTANO WA WADAU WA MAZAO YA JAMII YA MIKUNDE (PULSES)

Mtewele General Traders ,Ikitoa wasilisho la utekelezaji wa Mradi wa uzalishaji wa Mbegu Bora za maharage (QDS ) ,ambapo pamoja na Mambo mengine ilitoa namna gani kampuni inamchango mkubwa kwenye upatikanaji wa pembejeo za kilimo, utoaji wa mafunzo ya kilimo hii ilifanyika kwenye Jukwa la wadau (Stakeholder Forum ) June 7 2023 ,Songea

KAMPUNI YA MTEWELE GENERAL TRADERS ,IKITOA MAFUNZO YA KILIMO CHA PARACHICHI NA NAMNA BORA YA MATUMIZI YA MBOLEA NA VIUATILIFU.

Kampuni ya Mtewele General Traders ,umetoa mafunzo ya kilimo Cha Parachichi na namna Bora ya matumizi ya mbolea na viuatilifu kudhibiti wadudu na Magonjwa ,mafunzo haya yametlewa katika Kijiji Cha Itipingi ,Halmashauri ya Njombe vijijini Tarehe 23/5/2023

MAFUNZO YA NAMNA BORA YA KUZALISHA ZAO LA PARACHICHI KIJIJI CHA LUPEMBE WILAYA YA NJOMBE VIJIJINI

Afisa masoko ,kampuni ya Mtewele general traders akitoa namna gani mkulima ananufaika na bidhaa zetu ,wakati wa mafunzo ya namna Bora ya kuzalisha zao la parachichi Kijiji Cha Lupembe wilaya ya Njombe vijijini tarehe 27/5/2023

ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA MBEGU NA MBOLEA PAMOJA NA MBINU ZINGINE ZA UZALISHAJI WA MAHINDI KIJIJI CHA DULAMU

Kampuni ya Mtewele General traders kwa kushirikiana na wadau wake OCP Tanzania na Bayer wakitoa elimu ya matumizi sahihi ya mbegu na mbolea pamoja na mbinu zingine za uzalishaji wa mahindi Kijiji Cha Dulamu ,Halmashauri ya Wanging'ombe tarehe 26/5/2023

WAKULIMA KIKUNDI CHA MUUNGANO KIJIJI CHA MTILA

Wakulima kikundi Cha Muungano Kijiji Cha Mtila , kata Matora ,Halmashauri ya Njombe mji mkoa wa Njombe ,wakishiriki mafunzo ya kilimo Bora Cha Parachichi ,Viazi na Ngano kutoka kampuni ya Mtewele General traders tarehe 27/5/2023.

WASHIKA DAU