MBOLEA
MBOLEA ZA KUNYUNYIZIA
![](images/blog/blog_post228.png)
Ni mbolea ambazo hutumika kunyunyizia kwenye majani ya mazao husika kwa lengo la kuchochea ukuaji na kuboresha mavuno.Mbolea hizi huchanganywa na maji kwa kiwango ambacho kinakubarika.
Mfano wa mbolea hizi ni=-
i.YaraVita Tracel Bz: Ni
NPK yenye kiwango kikubwa cha Magnezium(Mg),Boron(B)
na Zinki(Zn)
,inatumika kwenye mazo mengi kama Parachichi,maharagwe,kabichi,machungwa,kahawa na nk.
ii.Yaravita
Power boost: Ni booster yenye kiwango kizuri cha Virutubisho aina ya Zinki na boron,hutumika kwenye mazoa mengi kama parachichi,kahawa nk.
iii.Crop
boost:Ni booster yenye virutubisho kama Fosforasi(P),Potassium(K),Mg
na Zn ,inafanya vizuri kwenye mazoa mbalimbali eg Viazi,Maharagwe,Nyanya,Vitunguu,karoti nk.
iv.Snowfert –Ni
NPK(19-19-19 +Trace element): inafaa kutumika kwenye matunda na mazao ya mbogamboga na nafaka.
v.Wuxual –Ni
NPK 24-24-18: Yenye virutubisho vidogovidogo eg B,Zn,Mn,Mo ,inafanya vizuri kwenye mazoa mengi ie Matunda ,nafaka,mbogamboga.
vi.Booster
12%N,Mg,Zn,B,iron,Mo,Cu: inatumika kwenye mazoa yote~matunda,mbogamboga,Nafaka.
NB:Mbolea zinazo nyunyiziwa kwenye majani ya zao siyo mbadala wa mbolea zinazowekwa kwenye udogo ,hivyo mbolea hizi hutumika kuchochea ukuaji na kuboresha mavuno tu.
KARIBU TUKUHUDUMIE MTEJA
TUNAPATIKANA: NJOMBE,CCM Road / Post Office Behahind Lutheran Church,Plot No.246, Block J, Second Floor
PIGA SIMU: +255 754 268 605 / +255 753 947 715 / +255 754 781 519
Barua Pepe: info@mgt.co.tz
Comments