MATUKIO

UPANDAJI WA SHAMBA DARASA LA MAHINDI AINA YA TEMBO 719 KUTOKA KAMPUNI YA SEEDCO KIJIJI CHA MTWANGO WILAYA YA NJOMBE.

 Upandaji Wa Shamba Darasa La Mahindi Aina Ya Tembo 719 Kutoka Kampuni Ya Seedco Kijiji Cha Mtwango Wilaya Ya Njombe.
Kwa kufuata kanuni bora za upandaji,Nafasi pendekezi ni sentimeta 75 mtari kwa mtari na sentimeta 30 kati ya shimo hadi shimo (Punje moja kwa shimo)

Yefta Msemwa

jepthahcamis@gmail.com

softwaredeveloper, interprenuwers.

Follow Me:

Comments