MATUKIO

MKUTANO WA WADAU WA MAZAO YA JAMII YA MIKUNDE (PULSES)

Mtewele General Traders ,ikitoa wasilisho la utekelezaji wa Mradi wa uzalishaji wa Mbegu Bora za maharage (QDS ) ,ambapo pamoja na Mambo mengine ilitoa namna gani kampuni inamchango mkubwa kwenye upatikanaji wa pembejeo za kilimo, utoaji wa mafunzo ya kilimo hii ilifanyika kwenye Jukwa la wadau (Stakeholder Forum ) June 7 2023 ,Songea

Yefta Msemwa

jepthahcamis@gmail.com

softwaredeveloper, interprenuwers.

Follow Me:

Comments