MBOLEA

MBOLEA ZA KUPANDIA

Mbolea za kupandia;Ni mbolea zenye kiwango kizuri cha kirutubisho cha Fosforasi (P) ambacho kazi yake kubwa ni kuchochea ukuaji wa mizizi ili iweze kuchukua chakula(virutubisho) na maji kwenye udongo.Mfano wa mbolea hizi ni :-

i. Diammonium phosphate(DAP) -18%N,46%P
ii.YaraMila Otesha -13%N,24%P,12K7.5%S ,2MgO
iii.NPS-19%N,38%P,7%S
iv.NPSZn-12%N,45%P,5S,0.2Zn
v.NPK-14%N,23%P,14%K,5%S,1%B2O3

    Aina hii ya mbolea inatumika kupandia mazao mbalimbalia pia inafaa kukuzia mazao ya mbogamboga na matunda na wakati mwingine inaweza kutumika kwenye kilimo cha pamba(cotton).

vi.   NPK 11:22:21+4S+1B2O3+1Zn –Inatumika kupandia mazoa mbalimbali lakini inafaa Zaidi kukuzia mazao aina ya mbogamboga(Viazi,Nyanya,vitunguu,Cabbage nk) na matunda kwa sababu ina kiwango kizuri cha madini ya K,B,Zn.


vii. Hakika -1.5N,1.5P,3.5K,organic matter 25%,moisture content 25-35%=-Ni mbolea ya kiasili(organic) inatumika kupandia na kukuzia zao la parachichi.

VIII.YaraMila Tobacco-Ni NPK 10-18-24+7S+0.012B inatumika kwenye zao la Tumbaku

IX.Microp-17%N,29%P,5%S,0.2Zn Ni mbolea inayotumika kuapndia mazao mbalimbali

     NB:Kiwango cha matumizi kwa ekari kitategemea aina ya zao na Afya ya udongo .


  KARIBU TUKUHUDUMIE MTEJA

TUNAPATIKANA: NJOMBE,CCM Road / Post Office Behahind Lutheran Church,Plot No.246, Block J, Second Floor

 PIGA SIMU: +255 754 268 605 / +255 753 947 715 / +255 754 781 519

Barua Pepe: info@mgt.co.tz




Yefta Msemwa

jepthahcamis@gmail.com

softwaredeveloper, interprenuwers.

Follow Me:

Comments