FOR ALL INSURANCES AND AGRICULTURE INPUTS
Upandaji Wa Shamba Darasa La Mahindi Aina Ya Tembo 719 Kuotoka Kampuni Ya Seedco Kijiji Cha Mtwango Wilaya Ya Njombe. Kwa kufuata kanuni bora za upandaji,Nafasi pendekezi ni sentimeta 75 mtari kwa mtari na sentimeta 30 kati ya shimo hadi shimo (Punje moja kwa shimo)
Elimu Kuhusu Matumizi Bora Ya Mbolea Na Viuatilifu Kwenye Zao La Parachihi Kijiji Cha Ulembwe, MKULIMA ALIELIMISHWA YA FUATAYO: Elimu bora juu ya uandaaji wa miche ya parachichi kwenye kitaru,Pia namna bora ya Uandaaji wa Shamba kwaajili ya Zao la parachichi na mbolea shahihi ya kupandia na kukuzia zao la parachichi (Faida za kutumia HAKIKA kwenye zao la parachichi) Pia Namna bora cha kupambana/ kudhibiti magonjwa na wadudu kwenye zao la parachichi. Mafunzo hayo yaliongozwa na Bwana Musa Lwinga ( Agronomist/Bwana shamba ) wa kampuni, Afisa masoko ALEX MAHENGE
Mafunzo Juu Ya Matumizi Sahihi Ya Mbolea Ya Kiasili Ya Hakika na Viuatilifu Bora Kwenye Zao La Parachichi Katika Kijiji Cha Usita Kata Ya Ulembwe. Mafunzo hayo yaliongozwa na Bwana Musa Lwinga ( Agronomist/Bwana shamba ) wa kampuni .
Duka Letu Lipo Mbinga Mjini Barabara Ya Kuelekea Kanisa La Romani Katoliki Karibu Na Benki Ya Nmb. Tunauza Aina za Mbolea mfano.Mbolea za Kukuzia,Mbolea za Kupandia na Mbolea za Kunyunizia ,viuatilifu na Mbegu aina zote . Karibu sana . PIGA :0746 503 057 AU PIGA SIMU: +255 754 268 605 / +255 753 947 715 / +255 754 781 519 Barua Pepe: info@mgt.co.tz
Ofisi zetu kuu ziko mtaa wa posta,nyuma ya kanisa la kiinjili la kilutheri. Barabara ya CCM, Ni makao makuu ya MTEWELE GENERAL TRADERS Plot No.246, Block J, Ghorofa ya Pili Tunauza Magari aina mbalimbali,Pia tunauza Pembejeo za kilimo
Duka Letu Lipo MJIMWEMA eneo la stendi mpya barabara ya NJOMBE-SONGEA Jengo la Masista Chumba Namba Moja. Tunauza Aina mbalimbali za Mbolea mfano.Mbolea za Kukuzia,Mbolea za Kupandia na Mbolea za Kunyunizia ,viuatilifu na Mbegu aina zote .
Duka Letu Lipo Barabara Ya Njombe-Songea Jirani Na Kituo Cha Mafuta Gapco Tunauza Aina mbalimbali za Mbolea mfano.Mbolea za Kukuzia,Mbolea za Kupandia na Mbolea za Kunyunizia ,viuatilifu na Mbegu aina zote .
Duka Letu Lipo Barabara Ya Njombe-Songea Mtaa Wa Railway Njia Ya Kuelekea Groly Hotel Tunauza Aina mbalimbali za Mbolea mfano.Mbolea za Kukuzia,Mbolea za Kupandia na Mbolea za Kunyunizia ,viuatilifu na Mbegu aina zote .
Wakulima wakipewa elimu namna bora ya kupanda wa Viazi kwa vitendo kwa kuzingatia umbali kati ya kiazi kimoja na kingine pia umbali kati ya mtari mmoja wa viazi na mwingine na mbolea gani ni nzuri kwa viazi ,Viuatilifu gani na muda gani unapaswa kukuzia ikiwa mmea una hali gani, Yote hayo yalifanyka kijiji cha Lugenge Halmashauri ya Mji Njombe.
Wakulima wakifundishwa matumizi sahihi ya pembejeo za kilimo kutoka kampuni Mtewele General traders , Mkoani NJOMBE juu ya Mbinu za masoko na wakulima kubadilika Kuoka kilimo cha asili kwenda kwenye kilimo chenye tija (kisasa) , Pia Kuzijua aina za mbolea na matumizi yake ,hapa ni kijiji cha KIYAULA kata ya LUGENGE. Mafunzo hayo yalikiongozwa na Bwana Musa Lwinga ( Agronomist/Bwana shamba ) wa kampuni
UWAKALA WA HUDUMA ZA KIFEDHA na BIMA ZA VYOMBO VYA MOTO Kama MAGARI 1. NMB, CRDB, NBC, NBC,TPB Bank 2. M-pesa, Tigopesa, Airtel Money 3. TANESCO (LUKU) 4. ICEA LION INSURANCE & ZANZIBAR INSURANCE
Tunauza Magari Aina Mbalimbali toka JAPAN na Uingereza ,Magari hayo yana ubora wa hali ya juu pia tunamsikiliza mteja na kutoa ushauri ukibidi kutokana na hitaji la mteja ,Magari tunayo uza ni Magari madogo kwa matumizi ya Famili ,Magari kwaajili ya usafirishaji wa abiria kama ROSA,MITSUBISH AEROMID,Magari kwaajili ya kusafirisha Mizigo kama MITSUBISH FUSO,SCANIA nk Mtewele General Traders and Insurance Agency,tuna wajali wateja wetu ,Gari ukiagiza kwetu ni hakika na haraka . Aina za magari tunazo uza ni kama ifuatavyo.