Articles

MATUKIO

MAFUNZO JUU YA MATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA YA KIASILI YA HAKIKA NA VIUATILIFU BORA KWENYE ZAO LA PARACHICHI KATIKA KIJIJI CHA USITA KATA YA ULEMBWE

Mafunzo Juu Ya Matumizi Sahihi Ya Mbolea Ya Kiasili Ya Hakika na Viuatilifu Bora Kwenye Zao La Parachichi Katika Kijiji Cha Usita Kata Ya Ulembwe. Mafunzo hayo yaliongozwa na Bwana Musa Lwinga ( Agronomist/Bwana shamba ) wa kampuni .

MADUKA Na OFISI

DUKA LETU LIPO MBINGA MJINI BARABARA YA KUELEKEA KANISA LA ROMANI KATOLIKI KARIBU NA BENKI YA NMB

Duka Letu Lipo Mbinga Mjini Barabara Ya Kuelekea Kanisa La Romani Katoliki Karibu Na Benki Ya Nmb. Tunauza Aina za Mbolea mfano.Mbolea za Kukuzia,Mbolea za Kupandia na Mbolea za Kunyunizia ,viuatilifu na Mbegu aina zote . Karibu sana . PIGA :0746 503 057 AU PIGA SIMU: +255 754 268 605 / +255 753 947 715 / +255 754 781 519 Barua Pepe: info@mgt.co.tz

MADUKA Na OFISI

MAKAO MAKUU YA MTEWELE GENERAL TRADERS AND INSURANCE AGENCY

Ofisi zetu kuu ziko mtaa wa posta,nyuma ya kanisa la kiinjili la kilutheri. Barabara ya CCM, Ni makao makuu ya MTEWELE GENERAL TRADERS Plot No.246, Block J, Ghorofa ya Pili Tunauza Magari aina mbalimbali,Pia tunauza Pembejeo za kilimo

MADUKA Na OFISI

DUKA LETU LIPO MJIMWEMA ENEO LA STENDI MPYA BARABARA YA NJOMBE-SONGEA JENGO LA MASISTA CHUMBA NAMBA MOJA

Duka Letu Lipo MJIMWEMA eneo la stendi mpya barabara ya NJOMBE-SONGEA Jengo la Masista Chumba Namba Moja. Tunauza Aina mbalimbali za Mbolea mfano.Mbolea za Kukuzia,Mbolea za Kupandia na Mbolea za Kunyunizia ,viuatilifu na Mbegu aina zote .

MADUKA Na OFISI

DUKA LETU LIPO BARABARA YA NJOMBE-SONGEA JIRANI NA KITUO CHA MAFUTA GAPCO

Duka Letu Lipo Barabara Ya Njombe-Songea Jirani Na Kituo Cha Mafuta Gapco Tunauza Aina mbalimbali za Mbolea mfano.Mbolea za Kukuzia,Mbolea za Kupandia na Mbolea za Kunyunizia ,viuatilifu na Mbegu aina zote .

MADUKA Na OFISI

DUKA LETU LIPO BARABARA YA NJOMBE-SONGEA MTAA WA RAILWAY NJIA YA KUELEKEA GROLY HOTEL

Duka Letu Lipo Barabara Ya Njombe-Songea Mtaa Wa Railway Njia Ya Kuelekea Groly Hotel Tunauza Aina mbalimbali za Mbolea mfano.Mbolea za Kukuzia,Mbolea za Kupandia na Mbolea za Kunyunizia ,viuatilifu na Mbegu aina zote .

MATUKIO

ELIMU JUU YA UPANDAJI WA VIAZI KIJIJI CHA LUGENGE

Wakulima wakipewa elimu namna bora ya kupanda wa Viazi kwa vitendo kwa kuzingatia umbali kati ya kiazi kimoja na kingine pia umbali kati ya mtari mmoja wa viazi na mwingine na mbolea gani ni nzuri kwa viazi ,Viuatilifu gani na muda gani unapaswa kukuzia ikiwa mmea una hali gani, Yote hayo yalifanyka kijiji cha Lugenge Halmashauri ya Mji Njombe.

MATUKIO

ELIMU JUU YA MATUMIZI SHAHIHI YA PEMBEJEO ZA KILIMO

Wakulima wakifundishwa matumizi sahihi ya pembejeo za kilimo kutoka kampuni Mtewele General traders , Mkoani NJOMBE juu ya Mbinu za masoko na wakulima kubadilika Kuoka kilimo cha asili kwenda kwenye kilimo chenye tija (kisasa) , Pia Kuzijua aina za mbolea na matumizi yake ,hapa ni kijiji cha KIYAULA kata ya LUGENGE. Mafunzo hayo yalikiongozwa na Bwana Musa Lwinga ( Agronomist/Bwana shamba ) wa kampuni

HUDUMA ZA KIFEDHA , LUKU NA BIMA

UWAKALA WA HUDUMA ZA KIFEDHA Na BIMA ZA VYOMBO VYA MOTO Kama MAGARI

UWAKALA WA HUDUMA ZA KIFEDHA na BIMA ZA VYOMBO VYA MOTO Kama MAGARI 1. NMB, CRDB, NBC, NBC,TPB Bank 2. M-pesa, Tigopesa, Airtel Money 3. TANESCO (LUKU) 4. ICEA LION INSURANCE & ZANZIBAR INSURANCE

MAGARI

TUNAUZA MAGARI AINA MBALI MBALI TOKA JAPAN NA UINGEREZA

Tunauza Magari Aina Mbalimbali toka JAPAN na Uingereza ,Magari hayo yana ubora wa hali ya juu pia tunamsikiliza mteja na kutoa ushauri ukibidi kutokana na hitaji la mteja ,Magari tunayo uza ni Magari madogo kwa matumizi ya Famili ,Magari kwaajili ya usafirishaji wa abiria kama ROSA,MITSUBISH AEROMID,Magari kwaajili ya kusafirisha Mizigo kama MITSUBISH FUSO,SCANIA nk Mtewele General Traders and Insurance Agency,tuna wajali wateja wetu ,Gari ukiagiza kwetu ni hakika na haraka . Aina za magari tunazo uza ni kama ifuatavyo.

VIUATILIFU NA MBEGU

AGRICULTURAL SPRAYER PUMP

Sprayer pump- Ni vifaa maalum vinavyo tumika kunyunyizia viuatilifu(sumu) kwenye mazoa ili kudhibiti visumbufu vya mazoa. Mabomba yametengenezwa kwa kukidhi mahitaji mbalimbali ,mabomba haya yana Nozeli sahihi ambazo zinatoa matone sahihi na yanayo fika kwenye kisumbufu lengwa .

VIUATILIFU NA MBEGU

MBEGU

Kampuni yetu mtewele general traders tunauza na kusambaza mbegu za mazao mbalimbali mahindi ,soya,Alizeti,mbegu ya mbogamboga za makapuni mbalimbali. Kwa upande mmbegu za mahindi tuna zinazo komaa kuanzia siku 135-150 mfano PAN 691,SC 719,UH 6303 ,pia tuna za muda mfupi kama SC 403 & 419. Mbegu za mbogamboga-Tunauza na kusambaza mbegu zenye ubora zinazo vumilia magonjwa eg Vitunguu ,kabichi,nyanya ,karoti,Figiri,Hoho n.k.