BADILISHA SHAMBA LAKO KUWA CHANZOCHA UTAJIRI NA YARAREGA KUTOKA MTEWELE GENERAL TRADERS
August 18, 20268
Anza msimu wako wa kilimo kwa uhakika na mbolea ya YaraRega,iliyoundwa maalum kutoa lishe kamilifu kwa mazao ya viazi na parachichi.Usiridhike na mavuno kidogo-YaraRega inakusaidia kuongeza uzalishaj,kuboresha ubora wa mazao,na kuhakikisha afya njema ya mmea kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Comments