VIUATILIFU NA MBEGU

VIUA DUDU /INSECTICIDES

VIUA DUDU/INSECTICIDES-Ni sumu inayotumika kuua,kufukuza wadudu wanao shambulia mazo shambani au gharani.Viua dudu vinajulikana kama Viuatilifu ambavyo vina kiambata amilifu ambacho ndicho kinafanya kazi ya kuua,kufukuza na kuzuia mazao yasishambuliwe na visumbufu,mfano wa visumbufu wadudu,magonjwa na magugu.

Mfano wa viua dudu

i.Profenofos ~Mupacron –Ni kiuatilifu chenye wigo mpana wa kudhibiti wadudu kama vithrips,Aphids,mites,mealy bug.

ii.Excel crush-Ni kiua dudu chenye wigo mpana wa kudhibiti wadudu kwa njia ya mguso na tumbo (stomach poison) ; viambata amilifu Chlorpyriphos na Cypermethrin .Mfano wa wadudu wanadhibitiwa viwavi matunda,thrips,stem borers,leaf miner ,pia inafanya vizuri kudhibiti viwavi jeshi na katangaze.

iii.Tricel ~Chlorpyriphos.Ni kiuatilifu kinacho dhibiti visumbufu vingi kwenye mazoa kama mpunga,maharagwe,pamba,kabichi,vitungu,na visumbufu vya matunda.eg aphids,panzi,inzi wa matunda.

iv.Hitcel-ina kiambata Profenofos na cypermethrin chenye wigo mpana wa kudhibiti visumbufu kwenye mazoa.Kiuatilifu hiki kina matokeo mazuri sana pindi unapo nyunyizia kwa usahihi .

v.Snow mectin~Emamectin Benzoate-Ni kiuatilifu che wigo mpana wa kudhibiti visumbufu shambani na ni kiwatilifu cha kimfumo .Kinadhibiti Viwavi jeshi vamizi,stalk borer,red mites n.k.

vi.Canine plus dust –Ni kiuatilifu kinacho dhibiti visumbufu gharani ,hakichanywi na maji ,kinawekwa kama kilivyo kwenye hali ya vumbi au poda,chanyanya na nafaka debe 24 kwa 200gram za canine plus dust.
vii.Mult Apha plus- Emamectin Benzoate na Alphacypermethrin ,ina dhibiti visumbufu kwenye mazoa mbalimbali .

NB:Tumia bidhaa hizi kwa kuzingatia tahadhari ya kiafya ,kimazingira ,kiafya vaa vifaa kinga kama mask,overol ,buti,kofia ,kimazingira tumia kwa kiwango kinacho pendekezwa ,hifadhi vibebeo sehemu salama .

Kwa maelezo Zaidi wasiliana na Agronomist wa kampuni kwa namba 0759967918/0655967918


 KARIBU TUKUHUDUMIE MTEJA

TUNAPATIKANA: NJOMBE,CCM Road / Post Office Behahind Lutheran Church,Plot No.246, Block J, Second Floor

 PIGA SIMU: +255 754 268 605 / +255 753 947 715 / +255 754 781 519

Barua Pepe: info@mgt.co.tz


Yefta Msemwa

jepthahcamis@gmail.com

softwaredeveloper, interprenuwers.

Follow Me:

Comments