MBOLEA ZA KUPANDIA
i. Diammonium phosphate(DAP) -18%N,46%P
Aina hii ya mbolea inatumika kupandia mazao mbalimbalia pia inafaa kukuzia mazao ya mbogamboga na matunda na wakati mwingine inaweza kutumika kwenye kilimo cha pamba(cotton).
vi. NPK 11:22:21+4S+1B2O3+1Zn –Inatumika kupandia mazoa mbalimbali lakini inafaa Zaidi kukuzia mazao aina ya mbogamboga(Viazi,Nyanya,vitunguu,Cabbage nk) na matunda kwa sababu ina kiwango kizuri cha madini ya K,B,Zn.
vii. Hakika -1.5N,1.5P,3.5K,organic matter 25%,moisture content 25-35%=-Ni mbolea ya kiasili(organic) inatumika kupandia na kukuzia zao la parachichi.
NB:Kiwango cha matumizi kwa ekari kitategemea aina ya zao na Afya ya udongo .
KARIBU TUKUHUDUMIE MTEJA
TUNAPATIKANA: NJOMBE,CCM Road / Post Office Behahind Lutheran Church,Plot No.246, Block J, Second Floor
PIGA SIMU: +255 754 268 605 / +255 753 947 715 / +255 754 781 519
Barua Pepe: info@mgt.co.tz
Comments