VIUATILIFU NA MBEGU

VIUA KUVU/FUNGICIDES

Viua kuvu:-Ni viuatilifu vinavyo dhibiti kuvu kwenye mazao ,viua kuvu kuna vinavyo zuia/preventive na vinavyo tibu/curative.

i.Vinavyo zuia/preventive-Hivi ni viuatilifu vinavyo fanya kazi ya kuzuia mazao yasishambuliwe na mara nyingi hutumiwa hata kama hujaona dalili za ugonjwa shambani

Mfano : Farmzeb 80 WP(Mancozeb) ,Z-force( Mancozeb),Chloroforce (Chlorothalonil ) ,ebony (Mancozeb) n.k.

ii.Viua kuvu/fungicides vinavyo fanya kazi ya kuzuia/preventive na kutibu/curative ni kama Multpower plus 78WP yenye viambata vitatu (mancozeb,cymoxanil na Dimothomorph),Snow king 72WP(Mancozeb ,Cymoxanil ) snow power (Mancozeb,Cymoxanil,Copper oxychloride) hivi vyote hudhibiti magonjwa kama baka jani chelewa na baka jani wahi kwenye mazao mbalimbali kama viazi,Nyanya hoho n.k.

iii.Sulfex gold (sulphur 80 WP) ,Snow vit (Sulphur 80 WP ) na Hexzol (Hexaconazole ) hudhibiti scab na ubwri unga kwenye mazoa mbalimbali kama parachichi,korosho na mazoa mengine.

NB: Kuangalia matumizi ya viwatilifu hivi angalia kwenye vibandiko vya kiuatilifu husika au pata ushauri wa matumizi kutoka kwa wataalam wetu.

Kwa maelezo Zaidi wasiliana na Agronomist wa kampuni kwa namba 0759967918/0655967918


 KARIBU TUKUHUDUMIE MTEJA

TUNAPATIKANA: NJOMBE,CCM Road / Post Office Behahind Lutheran Church,Plot No.246, Block J, Second Floor

 PIGA SIMU: +255 754 268 605 / +255 753 947 715 / +255 754 781 519

Barua Pepe: info@mgt.co.tz


Yefta Msemwa

jepthahcamis@gmail.com

softwaredeveloper, interprenuwers.

Follow Me:

Comments