VIUATILIFU NA MBEGU

VIUA GUGU/HERBICIDES

VIUA GUGU:Ni viuatilifu vinavyo tumika kwenye palizi na kusafisha mashamba.

Viuatilifu hivi vimegawanyika kwenye makundi kadhaa kama ifuatavyo:-

i.A)Pre –emergence/Vinatumika kabla ya magugu au zao kuota mfano Sure start na Primagram hutumika kuzuia magugu kuota kwenye mahindi na hutumika baada ya kupanda mahindi.

ii.B)Dual gold : hutumika kama pre –emergence kuzuia magugu kuota kwenye maharage na mahindi na inapendekezwa kunyunyizia wakati kuna unyevu shambani na baada tu ya kupanda .

iii.Pre-post emergence: Viua gugu hivyo ni Pamoja na T-Maguguma(inachambua)

iv.Post emergence-Paraforce ,suraquat,Paraquat palizi kwenye mazoa ya mahindi n.k

v.Glycel na Clean up –Zina kiambata Amilifu ~ glyphosate na hakichagui-Non- selective ,mara nyingi hutumika kwenye mazoa ya miti na shamba ambalo halina mazoa .

Kwa maelezo Zaidi wasiliana na Agronomist wa kampuni kwa namba 0759967918/0655967918


 KARIBU TUKUHUDUMIE MTEJA

TUNAPATIKANA: NJOMBE,CCM Road / Post Office Behahind Lutheran Church,Plot No.246, Block J, Second Floor

 PIGA SIMU: +255 754 268 605 / +255 753 947 715 / +255 754 781 519

Barua Pepe: info@mgt.co.tz


Yefta Msemwa

jepthahcamis@gmail.com

softwaredeveloper, interprenuwers.

Follow Me:

Comments