MATUKIO

MAFUNZO KWA WAKULIMA WA PARACHICHI,MAHINDI,VIAZI NA MBOGAMBOGA - MKOANI NJOMBE

Mtewele General Trades Tukitowa mafunzo kwa wakulima wa parachichi 🥑, Mahindi 🌽, viazi na Mbogamboga🥬🥦
Wilaya ya njombe Kata ya mtwango Kijiji Cha Mawande. Ambapo walipewa elimu juu ya mbolea ipi inafaa kwa mazao hayo kwa nyakati za Kupandia,kukuzia na mbolea ya majani , Pia wali elimishwa Viuatilifu Bora kwa mazao hayo.

Mafunzo hayo yaliongozwa na Bwana Musa Lwinga ( Agronomist/Bwana shamba ) wa kampuni .

Yefta Msemwa

jepthahcamis@gmail.com

softwaredeveloper, interprenuwers.

Follow Me:

Comments