MATUKIO

LIGI YA MIYAO AMCOS(MBINGA-RUVUMA) ILIYODHAMINIWA NA MTEWELE GENERAL TRADERS

Matukio katika picha
Ni ligi ya MIYAO AMCOS(Mbinga-Ruvuma) iliyodhaminiwa na MTEWELE GENERAL TRADERS
Bwanashamba wetu Roden Kulanga akikabidhi jezi za waamuzi na kalenda ya Kampuni

Hongereni sana MIYAO kwa ubunifu na tunashukuru kwa kuchagua MTEWELE GENERAL TRADERS katika huduma za pembejeo na ushauri wa kitaalam.

Yefta Msemwa

jepthahcamis@gmail.com

softwaredeveloper, interprenuwers.

Follow Me:

Comments