MATUKIO

ELIMU KUHUSU MATUMIZI BORA YA MBOLEA NA VIUATILIFU KWENYE ZAO LA PARACHIHI KIJIJI CHA ULEMBWE

Elimu Kuhusu Matumizi Bora Ya Mbolea Na Viuatilifu Kwenye Zao La Parachihi (HAKIKA) Kijiji Cha Ulembwe,

MKULIMA ALIELIMISHWA YA FUATAYO:

i. Elimu bora juu ya uandaaji wa miche ya parachichi kwenye kitaru,

ii. Pia namna bora ya Uandaaji wa Shamba kwaajili ya Zao la parachichi na mbolea shahihi ya kupandia na kukuzia zao la parachichi (Faida za kutumia HAKIKA kwenye zao la parachichi)

iii. Pia Namna bora cha kupambana/ kudhibiti magonjwa na wadudu kwenye zao la parachichi.

Mafunzo hayo yaliongozwa na Bwana Musa Lwinga ( Agronomist/Bwana shamba ) wa kampuni, Afisa masoko ALEX MAHENGE

Yefta Msemwa

jepthahcamis@gmail.com

softwaredeveloper, interprenuwers.

Follow Me:

Comments