MATUKIO

ELIMU JUU YA UPANDAJI WA VIAZI KIJIJI CHA LUGENGE

Wakulima wakipewa elimu namna bora ya kupanda wa Viazi kwa vitendo kwa kuzingatia umbali kati ya kiazi kimoja na kingine pia umbali kati ya mtari mmoja wa viazi na mwingine na mbolea gani ni nzuri kwa viazi ,Viuatilifu gani na muda gani unapaswa kukuzia ikiwa mmea una hali gani, Yote hayo yalifanyka kijiji cha Lugenge Halmashauri ya Mji Njombe.

Mafunzo hayo yaliongozwa na Bwana  Musa Lwinga ( Agronomist/Bwana shamba ) wa kampuni .

Yefta Msemwa

jepthahcamis@gmail.com

softwaredeveloper, interprenuwers.

Follow Me:

Comments