MATUKIO

ELIMU JUU YA MATUMIZI SHAHIHI YA PEMBEJEO ZA KILIMO

Wakulima wakifundishwa matumizi sahihi ya pembejeo za kilimo kutoka kampuni  Mtewele General traders ,Mkoani NJOMBE juu ya Mbinu za masoko na wakulima kubadilika Kuoka kilimo cha asili kwenda kwenye kilimo chenye tija (kisasa) , Pia  Kuzijua aina za mbolea na matumizi yake ,hapa ni kijiji cha KIYAULA kata ya LUGENGE.

Mafunzo hayo yaliongozwa na  Bwana  Musa Lwinga ( Agronomist/Bwana shamba ) wa kampuni .


Yefta Msemwa

jepthahcamis@gmail.com

softwaredeveloper, interprenuwers.

Follow Me:

Comments