VIUATILIFU NA MBEGU

AGRICULTURAL SPRAYER PUMP

Sprayer pump: Ni vifaa maalum vinavyo tumika kunyunyizia viuatilifu(sumu) kwenye mazoa ili kudhibiti visumbufu vya mazoa.

Mabomba yametengenezwa kwa kukidhi mahitaji mbalimbali ,mabomba haya yana Nozeli sahihi ambazo zinatoa matone sahihi na yanayo fika kwenye kisumbufu lengwa .

Kwenye mabomba haya kuna aina kuu mbili za nozeli

i.Nozeli pia wazi : Hii hutumika kudhibiti visumbufu kama Kuvu na wadudu waharibifu shambani.

ii.Nozeli bapa:Hutumika kudhibiti magugu na baadhi ya kuvu shambani tunakushauri tumia bidhaa hizi ili zikupe ufanisi mkubwa kudhibiti visumbufu shambani.

NB:Vifaa vyote hivi utavipata kwenye sprayer pumps zetu zenye ubora na ufanisi kwa kuwa ufanisi wa kiuatilifu kinategemea ubora wa kifaa unacho tumia kunyunyizia viuatilifu shambabi eg Bettery sprayer,Bare foot sprayer,CP-15 pump n.k.

 KARIBU TUKUHUDUMIE MTEJA

TUNAPATIKANA: NJOMBE,CCM Road / Post Office Behahind Lutheran Church,Plot No.246, Block J, Second Floor

 PIGA SIMU: +255 754 268 605 / +255 753 947 715 / +255 754 781 519

Barua Pepe: info@mgt.co.tz


Yefta Msemwa

jepthahcamis@gmail.com

softwaredeveloper, interprenuwers.

Follow Me:

Comments